Universal modem kwa wakasi wa mwanza

Universal modem kwa wakasi wa mwanza

akrb

Senior Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
106
Reaction score
10
salaam,zipo universal modem mpya pamoja na 5gb internet ya mwezi mzima kwa 35000 tu,call/text 0784 710555.
 
Universal modem na bundle ya mtandao gani ?, yaani ukinunua modem unampa mtu na line au unamrushia bundle kwenye line yake
 
bundle ya voda,sio line inakuwa manamba unaingiza.
 
Hizo universal ni aina gani zile HSPDA Modem au ni Safaricom iliyochakachuliwa ?
 
Hizo universal ni aina gani zile HSPDA Modem au ni Safaricom iliyochakachuliwa ?

vodacom speed 3.75g,ukitaka kuiona nitext wattsap ntaku2mia picha,nimekwama kupost picha humu
 
Back
Top Bottom