United States of Africa (USA)

Jay456watt

JF-Expert Member
Aug 23, 2016
10,356
7,992
The idea behind a United Africa was coined by the AU through a passport which will be for all African citizens to be able to travel throughout the continent without visas. I pray that one day we will become a United Africa where there is unrestricted business and travel of goods and people. We can even develop a single continental currency, single flag, aligned policies and de facto capitals. We can make Nairobi the main capital au sio? :D:D:D
 
Attachments

  • videoplayback (62).mp4
    14.5 MB · Views: 39
Waafrika wenyewe tunachukiana na kuogopana kama mapimbi. Angalia Afrika Kusini, na nchi zingine xenophobic unakuta wanashobokea wazungu, wahindi na waarabu lakini hawataki kuskia chochote kuhusu waafrika kutoka kwenye nchi majirani zao.
Aliyemroga Mwafrika kafia zake zamani.
 
Mkuu kama unakumbuka Uingereza waliwahi kuanzisha maandamano wakiwa na madai kama ya South Africa, maajabu yake kwa swala lile lile ila kwakua ni Uingereza wakasema wanadai ajira zinazoweza kufanywa na wenyeji zibaki kwa wenyeji.
Miezi 2/ 3 nyuma kwa SA wakasema hiyo ni xenophobia.
 
- Ajira zinazoweza kufanywa na wenyeji, ni mantiki zibaki kwa wenyeji ilmradi wapo wenyeji ambao wana sifa za taaluma husika na hawana ajira.
- Hilo lipo dunia yote, leo hii ukienda kuuza mahindi choma Uchina, India n.k. utaona cha moto.
- Lakini ukienda na kuwa rubani, itaeleweka maana ni vigumu kupata marubani wazawa wasiokua na ajira.
- Hivyo kwa raia wa Uingereza kuandamana wakidai ajira kwa ajili ya wazawa, linaeleweka na kuwa na mantiki na tija.
- Sasa linakuja suala la sie Miafrika, unaandamana ili kufukuza Mwafrika mwenzio, hujali kama ni mtaalam wala nini.
- Unampiga Mwafrika mwenzio na kuwaacha wazungu na wahindi wakifanya kazi za kawaida tu.

Hata hapo kwenu Bongo, ipo siku niliingia kwenye ushindani na jamaa mzungu, ushindani wa kusaka mradi fulani, alinishinda kisa mzungu tu maana hakuwa na sifa sana zaidi ya ubabaishaji wa kuongea Kingereza kwa pua na kuwa na ngozi nyeupe.
Baadaye aliboronga nikaishia kuja mwenyewe kuifanya na kufanikisha hiyo kazi, Waafrika hatuaminiani, hatupendani, tunachukiana, na kuoneana wivu.....ukweli mchungu.
 
Bara ambalo watu bado atashule hawajaenda wa kutosha muhimu watu wapate elimu kwanza na tuendelee kuboresha mahusiano...muda ukifika wanaweza unite
 
Waafrika wenyewe tunachukiana na kuogopana kama mapimbi. Angalia Afrika Kusini, na nchi zingine xenophobic unakuta wanashobokea wazungu, wahindi na waarabu lakini hawataki kuskia chochote kuhusu waafrika kutoka kwenye nchi majirani zao.
Aliyemroga Mwafrika kafia zake zamani.
ndio...nchi za afrika huwa zinaogopa hata kufanya biashara...Naomba nchi za Afrika zifikie kataba wa kufungua mipaka na kuongeza biashara na usafiri wa watu ...
 
Hiyo itakuwa ni mipango ya kuvuruga amani kwenye nchi zenye utulivu. Kwanza hakuna kinachoweza kuiunganisha Afrika, hivyo ni jambo lisilowezekana kamwe.
 
The idea behind a United Africa was coined by the AU through a passport which will be for all African citizens to be able to travel throughout the continent without visas. I pray that one day we will become a United Africa where there is unrestricted business and travel of goods and people. We can even develop a single continental currency, single flag, aligned policies and de facto capitals.

Great idea but should not be narrowed to only movement of individuals from one land to another. It should go to movement of capital and investments, political ties etc
 
ndio...nchi za afrika huwa zinaogopa hata kufanya biashara...Naomba nchi za Afrika zifikie kataba wa kufungua mipaka na kuongeza biashara na usafiri wa watu ...
Kufungua mikapa eti.. OK tuanzie na wewe, hapo mtaani kwenu practice doorless homes. Halafu tupe feedback.
 
nazani jambo kubwa linalotufanya tusiweze kuungana kwa pamoja ni makabila mengi....pili nazani ni kutokuwa na masomoya kutosha (illiteracy)....hatuezi tukaelewa umuhimu wa umoja ikiwa hata masomo hatuna ya kutosha...
 
Kweli kabisa.... Afrika haikuwahi kuwa moja, kila watu walikuwa na desturi na mila zao na miungu yao na tawala zao.
Unajua miungano mingi inakuwa na maana pale watu wanapokuwa na tamaduni zinazofanana tu, angalia EAC ni muungano hewa unaokutana kujadili mambo hewa huku kila nchi ikihofia nyingine, vile vile nchi wanachama wa EAC hazina urafiki wala cha undugu kuanzia serikali hadi wananchi. Watu wana hisia za utaifa zaidi na hakuna anayetaka kupoteza utaifa wake.
 
Kufungua mikapa eti.. OK tuanzie na wewe, hapo mtaani kwenu practice doorless homes. Halafu tupe feedback.
kama hauna jambo la muhimu la kusema tafazali baki na maoni yako....nchi za Europe zina practice "open borders," do you see where they are in business? United States the same... those individual states can be seen as country equivalents.. dont look at it as leaving ur door open to strangers...that is a idiotic way of looking at it ...style up bana
 
Huna point wewe. Mmeshindwa kuungana nyie na makabila hayo 41 mtaweza kuunganisha Africa?
Solve your internal problems first.
Tribalism is Killing you..

Halafu this should atleast come from someone else, Not Kenyans,
Everyone knows you have been, and you are PUPPETS. Sisi Tz hatuwezi kuungana na Vibaraka wa Wazungu.
 
kama hauna jambo la muhimu la kusema tafazali baki na maoni yako....nchi za Europe zina practice "open borders," do you see where they are in business? United States the same... those individual states can be seen as country equivalents.. dont look at it as leaving ur door open to strangers...that is a idiotic way of looking at it ...style up bana
My friend. Mbona wazo lako united ya kufungua mipaka pekee!? Mfano system za umilki wa ardhi kati ya kenya na Tanzania ni tofauti kabisa. Tanzania is the best kwenye umilki wa ardhi. Kenya tayari walishaingia kwenye mtego wa wazungu. Largest land of kenya owned by individuals and most of them are white people.

Malizeni matatizo ya ardhi kwanza kwenu. Maana ardhi ndiyo resource mama kwa mambo yote.
 
la si kufungua mipaka pekee yake...there are alot of significant issues that come into mind when we are tlking abt a borderless africa....ardhi ina uhusiano upi na utangamano wa nchi za afrika?
 
la si kufungua mipaka pekee yake...there are alot of significant issues that come into mind when we are tlking abt a borderless africa....ardhi ina uhusiano upi na utangamano wa nchi za afrika?
Okay what do you mean when you say united. Unajua Tanzania tupo na uzoefu wa United, nyie hamna uzoefu huo.
If your talking about united which are merits and demerits?
Naomba nipatie hasara za United Countries of Africa.
 
Okay what do you mean when you say united. Unajua Tanzania tupo na uzoefu wa United, nyie hamna uzoefu huo.
If your talking about merits which are demerits?
Naoumba nipatie hasara za United Countries of Africa.
hatutajua hasara bila ya kujaribu kwanza...ningependa tuige mfano wa EU...sielewi maana ya viongozi wa kiafrika wakikutana addis ababa kila uchao ila wakitoka huko hakuna chochote cha maana kinachoendelea afrika...kwa mfano afrika tuko watu bilioni na...kwa hiyo tukiungana hiyo ni market kubwa sana ya kuvutia investors na market for products..
Legal and human rights.
  1. EU is one of strongest economic areas in the world. With 500 million people, it has 7.3% of the world's population, but accounts for 23% of nominal global GDP.
  2. Poorer counties, such as Ireland, Portugal and Spain have made significant degrees of economic development since they joined the European Union.
  3. The EU has a strong commitment to human rights, preventing discrimination and the due process of law. This makes the EU attractive to countries, such as the Ukraine who wish to share in similar legal and human rights.
  4. EU has enabled people to travel freely across national boundaries making trade and tourism easier and cheaper. According to the European Commission, more than 15 million EU citizens have moved to other EU countries to work or to enjoy their retirement.
 
Back
Top Bottom