Leon jeaph
Member
- Mar 9, 2019
- 88
- 82
Habarin za wakati ndug na jamaa wa jf.......
Nimesoma vitabu takribani 40 vya uchumi na siasa za nchi mbalimbali ikiwemo ulaya,africa,asia na america hawa watu weupe sio watu wazuri na wao wameungana ili kujikuza hasa kiuchumi wa mataifa na hata mtu mmojammoja...hivyo mimi narud na idea ya Raisi Gadaffi ya kuliunganisha bara la africa kuwa kitu kimoja, kusimamia siasa dhabiti,kulinda rasilimali zetu na raia wetu, hakika bara hili litakua nabutajiri na maendeleo makubwa kuliko mabara yote.
Just example satelite inayitumika africa ilitupunguzia zaidi ya bilioni mia tano kwa mwaka na aliinunua gadaffi kwa kushirikiana na mashirika mbalimbali ya africa je angepata saport tungekuwa wapi leo hii.naombeni ushauri juu ya mtazamo huu wa muungano na wale wakuu mnaona hii mada muitoe sehemu husika mukipata nafasi africa sisi ni ndug na watu wamoja tushikamane tufike mbali kwa vizazi vijavyo tusibaguane kwa dini na ukabila.....
Pia nipo tayar kutoa njia mbalimbali za kufanikisha hili swala.thanks.