Msaada kuna program za Windows ambazo nimeinstall kwenye Linux. Sasa naona baadhi hazifanyi kazi vizuri naziondoaje maana nimejaribu kwa njia ya terminal hazitoki. Naombeni msaada wanajf.
Naona hazifanyi kazi kwenye Linux, hivyo zinajaza nafasi bila sababu. Option iliyobaki naona ni kuiondoa hii Linux na kuinstall upya japo hiyo option. Niliona kwenye mtandao namna ya kuiondoa Linux.