Uninstalling Windows programs in Linux mint 16

achengula

JF-Expert Member
Jul 30, 2009
369
62
Msaada kuna program za Windows ambazo nimeinstall kwenye Linux. Sasa naona baadhi hazifanyi kazi vizuri naziondoaje maana nimejaribu kwa njia ya terminal hazitoki. Naombeni msaada wanajf.
 
Wataalamu na watumiaji wazoefu wa Linux mint msaada kwa hili va ndugu
 
mimi niliweka linux mint 16 kde kila niki update inapoteza network setting ikabidi nirudi zangu kwenye lm13 maya..

kwani mkuu unataka kuzitoa za nini sasa..
 
Naona hazifanyi kazi kwenye Linux, hivyo zinajaza nafasi bila sababu. Option iliyobaki naona ni kuiondoa hii Linux na kuinstall upya japo hiyo option. Niliona kwenye mtandao namna ya kuiondoa Linux.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom