2010-2015 tunatakiwa turudi kwenye basics. Nchi haiwezi kuendelea kama vitu basics ni shida. Mfano, Umeme ufikie angalau asilimia 80 ya wananchi. Kwa sasa ni 12 tu! Barabara, mawasiliano ya bei nafuu kwa ujumla. Bandari, TRL...zote za kuhakikisha ziko fiti.
Hivyo slogan yangu ingekuwa "to do the basics first"...sina translation yake