Habari Wadau, nina tafuta haraka sehemu nzuri ambapo naweza pata uniform za walinzi au kushonesha kwa haraka na kudarizi logo ya kampuni. rangi ya kampuni ni navy blue. pia viatu na mikanda na kofia. ni PM