Ungepewa nafasi leo kumshauri Jakaya Kikwete ungemwambia nini....?

1. Ajiuzulu ndani ya saa 24.
2. Ashtakiwe ktk mahakama ya sheria juu ya ufisadi & uzembe kwa miaka yote ya his miserable presidency.
3. Atubu
 
Asitishe mikataba ya madini yote, awafungulie mashtaka wote wenye kashifa za kujilimbikizia mali kwa njia ya ufisdi akiwamo na mwanae Ridhiwani kisha achie ngazi na chama chake kijfutwe kwenye siasa maana kimekuwa ni kichaka cha magamba yalikula mali za watanzia kiasi kwamba magamba hayavuliki na hayabebeki kwa wananchi kwa sasa
 
big up kikwete wewe endelea kutembea kwani bila ya kusafiri misaada itapatikana wapi ,nchii ni masikini haiwezi kujiendesha .
baba piga tripu tu
 
Bila safari za raisi nchi hii haiwezi kujiiendesha kwani huko aendako aneenda kuomba

tanzania ni kati ya nchi zinazosaidiwa sana pia ni kibaraka wa waamerika na wamagharibi hivyo mwacheni asafiri
hata huyu silaa naye atahitajika kusafiri

chuki mchukieni haki yake mpatieni
 
ningemshauri atoroke nchi hii kwani akijiuzuru mi binafsi namtafuta kwa aliyonitendea mpaka life limekuwa gumu sana.
 
Bila safari za raisi nchi hii haiwezi kujiiendesha kwani huko aendako aneenda kuomba

tanzania ni kati ya nchi zinazosaidiwa sana pia ni kibaraka wa waamerika na wamagharibi hivyo mwacheni asafiri
hata huyu silaa naye atahitajika kusafiri

chuki mchukieni haki yake mpatieni

wewe kweli magamba pure.Yani nchi yenye kilakitu lakini bado yawa ombaomba! Ndo mana mmekwishazoea kuhongwa t-shirt,vitambaa,mashati,khanga na vitenge,
 
aachie ngazi akaungane na rundenga kusimamia mashindano ya mamiss!!! maaana naona hiyo ndo kazi ataimudu vizuri.
 
hallo wana JF!! Ningependa kujua mawazo yenu kama great thinkers,Je,ukipata nafasi ya moja kwa moja kuongea na Jakaya Kikwete kuhusu mstakabali wa taifa hili kwasasa na baadae,UNGEMWAMBIA NINI?


How ever ningemwambia aache kuwaibia wananchi kwa kujitajirisha yeye na familia yake, auze malori mia mbili ya mafuta aliyonunua kwa hela ya wananchi na vituo vya mafuta anavyomiliki na mali kibao alizo nazo. Hela zitazopatikana awagawie wananchi maskini wanaotaabika kwa kukosa mahitaji muhimu hata mlo mmoja kwa siku unawashinda la sivyo hukumu ya motoni inamsubiria.
 
Baba Riz1 tafadhali watz walitegemea makubwa sana kutoka kwako ila umewaangusha hujafikia hata 1/10 nakushauri uwaombe radhi then pumzika rudi Msoga waachie watanzania nchi yao watafute kiongozi mwingine wewe IMETOSHA
 
Ningemwambia tutunge sheria kama za China kudhibiti wizi wa mali ya wananchi.
 
Back
Top Bottom