Chadema ikichukua nchi hatutaki vyama vya siasa tena, vinatugharimu sana,
futilia mbali vyama vya siasa, tutengeneze mfumo wetu wenyewe utakaofaa kuendesha nchi hii...
Kwa akili yako ndogo unaamini CHADEMA kinaweza kuchukua nchi hii chama cha kikanda chama cha maandamo chama cha kichaga chama kinacho amini kwa kufukuzana viongozi wao chama kinacho amini ili ugombee wenyekiti au urais lazima upate baraka toka kwa Mzee MTEI ndipo ugombee vinginevyo utaonekana wewe ni msaliti mpenda vyeo kama kweli chadema ikishinda ntajua mwisho wa dunia umefika!
Ndio tujaribu madaraka kwa miaka 50 Kama nyinyiKwa hiyo mtarudi kwenye mfumo wa chama kimoja.
Kwa hiyo umekubali kwamba Chadema itachukua madaraka 2015!?Hongera kwa kuona hilo.Kwa hiyo mtarudi kwenye mfumo wa chama kimoja.
mbona wewe unajitenga? au utakimbia nchi?Kwa hiyo mtarudi kwenye mfumo wa chama kimoja.
Nafikiri chama kile cha Mtikila kinafaa sana kuwa chama kikuu cha upinzani maana CCM baada ya 2015 itafutwa na viongozi karibu wote wataelekezwa the hague kuhukumiwa wakiongozwa na baba Ritz moko!
Kwa akili yako ndogo unaamini CHADEMA kinaweza kuchukua nchi hii chama cha kikanda chama cha maandamo chama cha kichaga chama kinacho amini kwa kufukuzana viongozi wao chama kinacho amini ili ugombee wenyekiti au urais lazima upate baraka toka kwa Mzee MTEI ndipo ugombee vinginevyo utaonekana wewe ni msaliti mpenda vyeo kama kweli chadema ikishinda ntajua mwisho wa dunia umefika!
kwa mwenendo huu walioujenga ccm, chama kikuu cha upinzani kitakuwa CUF,kwa sababu udini unaopaliliwa na ccm,wanajidanganya kwamba waislam ni wao wanashindwa kujua kwamba ,kwa matendo wanayowafanyia wote wataamia CUF na wao watabakia na wakristo wachache maana ccm sio chaguo la leoWasalaam wakuu? Naomba nijibiwe swali langu kama lilivyo hapo juu? Vyama viko vingi sana,NCCR-CUF,UDP,CCM,CHAUMA,DP,TLP,ADC na vingine vingi unaweza ongezea(Japo chama kikuu cha upinzani huja kutokana na idadi ya wabunge wa chama husika)
Huyu Jamaa ananitafutia ban. Hawa watu waliolelewa kwa pesa za ufisadi wanashida mno, na kwa taarifa yako ------ ameiagiza TISS ifanye uchunguzi wa kina ili kubaini ndani ya CCM ni nani anakihujumu chama kwani uwezekano wa kushinda 2015 haupo tena. Tiss wamemjibu kuwa njia pekee so far ya CCM kushinda ni kuchelewesha mchakato wa katiba mpya. Otherwise wamesema nchi ni ya chadema na lazima iwe hivyo ili kuzua umwagaji damu unaoweza kutokea endapo wananchi watapokwa haki yao.
Kichuli lazima uelewe kuwa maendeleo huenda na mabadiliko, hata katika maendeleo ya kisiasa watu huitaji kuona utofauti
Wewe lazima mwigulu kaka yako sio bureChadema .. kamwe na haitokuja kutokea kuchukua nchi.. uzuri ni kwamba wananchi wameamka na kujua true colors za hiki chama..