Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 73,943
- 225,945
Ngoja nisome hadi mwisho nifanye ulinganifu,Yup!
Yanayofanyika kwenye ule uzi ni marudio tu.
Haha na kweli!Yup!
Yanayofanyika kwenye ule uzi ni marudio tu.
Hakika!Hatari sana.
Wengine ni zaidi ya nusu ya umri wetu
Wakongwe wanadunda tuHakika!
Hata kibatani sikuwa nacho mimi kwa huo mwakaWakongwe wanadunda tu
Heshima kwao
Kipindi hicho maeneo mengi Tz hata smartphone hakuna.
Enzi hizo kuna watu walikuwa wananinanga eti nashinda JF!Wakongwe wanadunda tu
Heshima kwao
Kipindi hicho maeneo mengi Tz hata smartphone hakuna.
USA baby.Perspective….
Kwangu 2010 ni juzi tu hapo!
Ila kwa wengine 2010 ni milele.
Hahahaa that’s what’s up!Mi nilishamzimikia Gentleman back then. Sasa hivi ni zamu ya watoto.😁
Mhuuuuu!😉Hahahaa that’s what’s up!
Only him, the Gentleman, knows who he is 😉.
Oh yeah, most definitely.Mhuuuuu!😉
I hope he's still as cool, staying true to his principles and all that.