uNg'EnG'e

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,105
KIBERA KWA MBWEMBWE: KIBERA yupo na sista du
wakaenda kupata msosi
kwenye mgahawa m1
hvi,sasa bwana KIBERA
anataka kujifanya anajua
ung'eng'e mbele ya du,kufika pale wakakuta watasha a.k.a
wazungu wanamalizia
kula,KIBERA kusoma menu
haelewi k2,ghafla akasikia
wale wazungu wanamuita
weita... MZUNGU-waiter plz give me
toothpicks KIBERA kusikia k2 toothpicks
akajua ndo msosi waliokula
wazungu.hahaha nae kwa
mbwembwe na madoido nae
akaropoka... 'weita weita weita and me i
need two toothpicks
here...yaani i am vere vere
hungly' SISTA DU-hahahahahahahaha
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom