UNGEFANYA NINI UNGEKUWA NI WEWE? Dreva Taxi akamwambia; Mfunike bwana, mfunike na hilo blanketi kabla hajasikia baridi
Mbona hamtoi comment jamani utafanyaje?
kwani hilo jamaa lilitoa hivyo vitu kwa maandishi? unaji-express na unarecord, then blackmail kwa kwenda mbele.......alete mihela a kutosha ndo udistroy tape.Hilo limjamaa halina tiGo? Mpwa unataka komenti gani zaidi ya hii?
Fidel hivi kuna mwanaume anayekubali kudhalilishwa na kufanywa bweg.e kwa sababu hana kitu?
.
Amekua muda mrefu akihisi mke wake anamuibia kwa kutembea nje yandoa. Akaamua aandae safari feki na kurudi ghafla bila mkewe kutarajia. Akarudi na Taxi usiku wa manane na aliamua dreva Taxi aweshahidi, akamlipa 100,000 ili waende wote kufumania. Akanyanyua Bastola, wakanyatia ndani mpaka chumba chakulala, akaingia yeye na dereva taxi kwa kupanda kwa kamba,akawasha taa na dreva akafunua blanketi alilojifunikia mke wake....wapo wawili!Mke wa jamaa yu kitandani na mwanaume mwingine!!!Jamaa akaweka bastola kichwani kwa yule mwanaume mgoni wake, ghafla mke wake akapaza sauti, Usimuue!Huyu bwana ametusaidia sana! Nlikudanganya niliposema nimerithi fedha. Ni yeye alinunua lile LandCruiser VX niliyokununulia, alilipia hii nyumba tunayomiliki sasa, alinipa zile pesa tulikuwa tunadaiwa na benki na analipia tiketi zetu zotetunavyoendaga maonyesho. Ndiye pia anayelipia ada za watoto wetu, hata hiyo suti uliyovaa na nyingine. Pia analipa kodi zetu za kilamwezi!Huku akiyumbayumba kwa kutoamini, MME AKASHUSHA BASTOLACHINI, akamtazama dereva, akamuuliza, UNGEFANYA NINI UNGEKUWA NI WEWE? Dreva Taxi akamwambia; Mfunike bwana, mfunike na hilo blanketi kabla hajasikia baridi
Fidel una mambo...hii ungeiweka kule kwa vituko na jokes.... nimecheka we!!!!!!!
Kuna wanaume wengi sana siku hizi hawako responsible na family zao ndio haya yanawakuta, be responsible and you will know every thing, duhhh hi kali.kwani wakati unapewa vx, suti nyumba pesa za matumizi we ukija unakula tu hujui umeme na maji vinalipwaje wala ada ya watoto ulikuwa unadhani vinashushwa kama mana kutoka mbinguni hii ndio dawa ya wanaume wasiojua responsibility zao kwenye familia,
Cha msingi alitakiwa awekeane ratiba na huyo mshkaji, kwa wiki kulala na wifey, kwishney
Yah mapenzi ya kweli si pesa!!!!ningemwacha tu mke aendelee na huyo jamaa bwana, mi ningeondoka for good!
Mapenzi ya kweli si mali.
Yah mapenzi ya kweli si pesa!!!!