Mwamba028 JF-Expert Member Joined Nov 15, 2013 Posts 4,651 Reaction score 3,822 Feb 3, 2018 #1 Mko kwenye Ndege halafu ghafla unasikia tangazo lifuatalo.. "Mabibi na Mabwana, Mimi ni Rubani wenu Naeongea, ..Ukiangalia upande wako wa kulia Utaiona Flight namba 195 inajaribu kupambana na sisi katika mbio" "Hivyo Nawaomba mfunge mikanda yenu vizuri maana mpambano unaenda kuanza rasmi"
Mko kwenye Ndege halafu ghafla unasikia tangazo lifuatalo.. "Mabibi na Mabwana, Mimi ni Rubani wenu Naeongea, ..Ukiangalia upande wako wa kulia Utaiona Flight namba 195 inajaribu kupambana na sisi katika mbio" "Hivyo Nawaomba mfunge mikanda yenu vizuri maana mpambano unaenda kuanza rasmi"
Mr Miller JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 11,448 Reaction score 25,833 Feb 3, 2018 #2 ningefunga mkanda na kuweka headphones sikioni kusikiliza music
Tasbeeh313 JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 1,917 Reaction score 2,057 Feb 3, 2018 #3 Mkuu upo angani unaskia hiyo announcement utafanya kitu gani zaidi ya kusubiri "Final destination" ingekuwa gari au treni kidogo lakini ndege inabidi uwe mpole na kutubia
Mkuu upo angani unaskia hiyo announcement utafanya kitu gani zaidi ya kusubiri "Final destination" ingekuwa gari au treni kidogo lakini ndege inabidi uwe mpole na kutubia
Mwamba028 JF-Expert Member Joined Nov 15, 2013 Posts 4,651 Reaction score 3,822 Feb 3, 2018 Thread starter #4 Ha haa,,me nngem text pilot kuwa afanye juu chini huyo boya asitupite [emoji3] [emoji3] [emoji3]