Ungekuwa waziri wa Elimu kwenye nchi yako, ni jambo gani katika Historia ya Afrika Ungelifuta??

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,481
1,364
Ungekuwa waziri wa Elimu kwenye nchi yako, ni jambo gani katika Historia ya Afrika Ungelifuta??

‪

1. Kuwa Ziwa Viktoria liligunduliwa na mzungu na hali wazungu waliwakuta waAfrika wakiishi.
2. Binadamu wa Afrika alitokana na Evolution ya Chimpanzee, mbona chimpanzee waliopo hawajawahi kubadilika na kuwa binadamu?? Na wao wazungu walitokana na nini??
3. Binadamu wa kale alikuwa hana uwezo wa kufikiri; ina maana wao waliumbwa na Mungu yupi??
Mbona katika kitabu cha Mwanzo kinaeleza kuwa Mwenyezi Mungu aliumba binadamu, wanyama wa ardhi na maji na ndege wa kila aina?? Binadamu wa kwanza alikuwa Adamu.......
Hawa ni waongo sana...!!
 
Back
Top Bottom