Jabman
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 1,005
- 1,337
Kama ningekuwa mod wa jf
Ningetofautisha member was ndani ya nchi na wale wa nje ya nchi kwa sababu kuu mooja
Sababu ni kuwa kuna mijitu inasifia utawala kwa kuleta chuki baina ya uongozi na wananchi au inaponda serikali hata pasipopondeka. Hii mitu naamini si mitanzania na kama ni mitanzania basi haiishi nchini.
Hatari ikija sisi ndo tunaumia mienyewe inakula bata ughaibuni. Tuikosoe serikali inapokosea na tuisifu inapofanya vixuri kiuzalendo zaidi.
He, wewe ungekuwa mod was jf ungefanya nini?