Ungekua wewe ungefanyaje?

Ungekua wewe ungefanyaje?

Baadae tukabishana akanitema, nikarudia kuzuia muamala sikufanikiwa. Nikapga sm tena akapokea mdada huyo ndo akanisaidia kusitish
Umeona sasa,yani wahudumu ni wa hovyo sana,kuna mmoja niliwaka nae sana wa Airtel, akajifanya ana hasira akakata simu,nikapiga akapokea mwingine nikampekesha akanisaidia afu nikamwambia mteja kwenu ni kero? Alikuwa mdogo kama mshumaa.

Usikate tamaa mapema mkuu,wasumbue sana watakusaidia tu
 
Achana na mambo ya kwenda Dar, kama unataka kuhama nenda Katoro au Mwanza
 
Hapa ungemtumia tena kiasi kilichobaki ili kitimie kile kiasi sahihi ili waizuie.

Top up kile kiasi kilichokatwa ili warejeshe kupitia muamala ule wa mwanzo.

Hapa mkuu nilikosea namba nikatuma laki6 kimakosa na nilie mtumia alikua anadaiwa songesha elfu moja hivyo sikufanikiwa kurudisha pesa maana niliambiwa mteja kasha itumia kias flan Cha pesa, na ili muamala urudi wote mpaka kiasi kiwemo chote, kikipungua hata sh 100 huwezi rudisha pes
 
Njoo nikupe eneo hapa Barbara ya swahili DSM unaweza kulipia laki 4 Kwa mwezi jamaa? Kama ndiyo njoo inbox
 
Back
Top Bottom