Hahahahahaahaaaaaa π
Kwanza ntaichuku kwa upooole kutoka kwake, then ntamuuliza amesolve vipi hiyo ishu yake maana yawezekana hajaua wala kujeruhi mhusika wake labda tuu amemtishia..
Kitafuata kichapo ili aniambie nani kampa authority ya kuichukua hiyo itasaidia next time asirudie kuichukua.
Hizo incidents naogopaga sana na ndo maana siruhusu hata housegirl kuingia chumbani kwangu though i always keep it deep in briefcase.