Ungefanyaje?

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,675
Kama ingekua wewe
 

Attachments

  • 1387897186267.jpg
    26.9 KB · Views: 652
Hapo bora ubaki mtini maana huyo nyoka anaweza akawa nyoka wa kibisa ko ukapona,
 
Ninge achia ushuzi kama bomu la machozi...
 
Nitarukia majini na kupiga mbizi kwa nguvu zote ili kuwakwepa mamba
 
Hapo ni kwamba ukisikia majanga ndiyo moja kati ya hayo Mi ningerudi juu ya mti nikabiliane na hako kanyoka na ingebidi niifanye kitoweo kwa hasira!

Looh!
 
Hapana mkuu ila nataka kujaribu lakini naona ninachofikiria hakiwezekani
 
Ningemuita huyo aliyepiga hiyo picha...
 
Ningeachia mkono mmoja na kukata tawi la kumuulia huyo nyoka. Baada ya hapo ningeanza kuchekelea ushindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…