Hapo hakuna jibu sahihi, jibu sahihi ni unavua shati unaweka noti unafunga kama frushi la pamba kwa waliovuna pamba watanielewa au unavua soksi zote mbili unatupia noti hasa kama soksi ni ndefu, kuanza kutafuta mfuko wa rambo ni kupoteza muda.
hapo umenena af kabla hawajafka zngne naingza mfukoniNtamuita askari,afu ntampigia simu baba mchungaji aje tuiombee
hapo nachota naweka kwenye boxa 2 akiniuliza mtu namwambia n busha hapo kibaka hasogei