Sijasema awe demu wangu ila nimewaza coz kila nikianzisha mahusiano mapya hayadumu mkuu na yeye sioni akiongeza mtoto wa pili au kumuona na mume sijamuona ingawa yupo mkoa mwingine na mimi na alinitamkia hivyo nitakuroga so ni kama nachunguza coz mahusiano hayadumu najikuta nabwaga kwa tukio dogo tu wala sielwi