Ungefanyaje ingekutokea wewe?

kwenzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
669
Reaction score
667
Mmevamiwa na majambazi mke wako akabakwa na akapata mimba

We mwanamke ungeitoa..?
We mwànaume ungemshauri mkeo akaitoe?

Aisee Mie ningemwambia akatoe Mungu anisamehe kwa kweli mambo mengine magumu....
 
Jibu unalo afu unajiuliza swali tena, ni kama ufiche kitu mahali afu uanze kukitafuta.
 
Mmevamiwa na majambazi mke wako akabakwa na akapata mimba

We mwanamke ungeitoa..?
We mwànaume ungemshauri mkeo akaitoe?

Aisee Mie ningemwambia akatoe Mungu anisamehe kwa kweli mambo mengine magumu....
Ingekuwa vibaya kama tungebakwa wote lakin amebakwa peke yake maisha yatasonga na mimba haitolewi
 
Mmevamiwa na majambazi mke wako akabakwa na akapata mimba

We mwanamke ungeitoa..?
We mwànaume ungemshauri mkeo akaitoe?

Aisee Mie ningemwambia akatoe Mungu anisamehe kwa kweli mambo mengine magumu....
Mpime tu magonjwa ya zinaa kwa tahadhari, kisha muendelee tu kulea mimba hadi mtoto atapo zaliwa apelekwe kwenye kituo cha watoto yatima kwa malezi.
 
Wazo zur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…