Ungefanya nini?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ungefanya nini??

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by KakaKiiza, Sep 6, 2010.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Nimepokea kwamasikitiko habari ya kutupwa pingamizi lilokuwa limewekwa na Cahama cha Chadema dhidi ya mombea wa ccm Rais jakaya Kikwete!
  Kutokana na makosa yaliyofanywa na CCM!Hapo ndo unapoona kwamba uwanja wa demokrasia haupo na wala si mpana kama inavyotangazwa!!
  Turudi kwa Mweshimiwa Tendwa mimi nimemuonea huruma maana alipewa kaa la moto alikumbatie kulipeleka kwa jirani hivyo alitakiwa kuhakikisha linafika hakuwa na jinsi yoyote!!wewe chukulia niwewe umepewa jukumu hilo ungefanya nini??tafakari natoa jibu hapa na tusiongelee unazi au ushabiki na uzingatie Demokrasia ya Afrika,Tanzania!!:A S check_03:
   
 2. Negotiator

  Negotiator JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  umepokea toka kwa nani? Tuwekee source plz
   
 3. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  BBC. /swahili hata tbc nimeona.
   
 4. P

  Paul S.S Verified User

  #4
  Sep 6, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Kwako wewe ingekuwa maamuzi mazuri tu kama chadema wakishinda hata kama madai hayana msingi
   
Loading...