Tunauza cable zitakazo kuwezesha kuunganisha laptop yako kwenye tv ili uweze kutizama muvi kwenye screen kubwa,tv inayoweza kuunganishwa ni yoyote iwe ya chogo au flat,ipo cable maalumu itakayohamisha picha ya kwenye laptop yako kwenda kwenye tv.kumbuka tv ni aina yoyote haijalishi ni flat au chogo.cable zetu zinauzwa 20000,unalipia baada ya cable kufanya kazi!epuka kununua cable za madukani nyingi ni feki,na ya uwongo wametengeneza kukuibia tu hela yako!nunua cha nyumbani furahia maisha,epuka feki!0657115587