Unga wa Majani ya Mlonge

Unga wa Majani ya Mlonge

Mkuu umetutupa mkono
Hiyo hapo mkuu,sorry kwa kuwapotezea
IMG_20201220_135731_2.jpg
 
Shukran. Matumizi yake tunaomba tuelekezane.
Matumizi yake ni kuchuma majani ya huo mmea na kuyachemsha,yakishachemka unayatoa majani na kubakiza kimiminika,kwani ukiyaacha majani ndani ya kimiminika huwa yanasababisha kuongezeka kwa radha ya uchungu,baadae ya hapo kunywa kikombe kimoja cha Chai kutwa Mara tatu

ÑB. Ukiweka majani ya michai chai inapendeza zaidi,tumia kwa siku tatu hadi tano,hutaona UTI ,,pia hiyo juisi ya huo mmea hutibu homa ya manjano,majani yake yanatibu vidonda pia(fresh wounds)
.
 
Shukran mkuu
 
Huu mmea unaitwaje jina lake tuusake
 
Unga unapatikana, ila ukienda maduka ya kisuna huwa wanauza kijiko kimoja ni shilingi 1000, cha kukushauri ni kuwa Fanya namna upate mbegu za mlonge upande(uoteshe) maana ndani ya miezi mitatu tu unaanza kuvuna, katika familia yangu kuna miti miwili ambayo kwangu ni mhimu, wa kwanza ni huu mlonge kwa ajili ya tiba ya malaria na kuondoa sumu mwilini,

Lakini pia kuna mti Fulani ambao huwa nautumia kwa ajili ya kutibu UTI, kwa sasa haya magonjwa ni tatizo kwani mtu hawezi maliza mwezi hajaugua eidha malaria au UTI, hivyo nashauri kwa raia yeyote anayependa afya yake kuwa ni miti hii ili kujiepusha na matumizi ya Mara kwa Mara ya dawa za viwandani.

Mwisho mimi niko mbali toka hapo Shinyanga, ila kama utakwama sana naweza kukuagizia mbegu za mlonge uoteshe, nitakuagizia kupitia magari ya Mwanza lakini pia nikutakie pole kwa shida unayoipata juu ya afya yako na nikutakie pia uponaji wa haraka.
Kama huwa humalizi mwezi malaria na UTI vinakurudia pima damu kwenye maabara ya uhakika na umpate daktari wa kukutafsria majibu vizuri.
 
Wasaalaaam ndugu! Nashida na unga wa majani ya mlonge nitapata wapi nipo Shinyanga kwa sasa.

Nmekunywa madawa sana kwa ajili ya tiba mbalimbali najihisi mwili mzito baaada ya kufuatilia nmepata fununu mlonge unasaidia kuondoa sumu mwilini kwa hiyo nauhitaji kwa ajili ya kazi hiyo
Karibu.

Unga wa majani ya mlonge,
Unga wa mwani.

Unga wa mwani package inanza -10,000
Unga wa mlonge package inanza -6000

Ukihutaji vyote unapata. Nawasiliano 0674060986
 
Back
Top Bottom