Habari zenu wanajamvi?
Naomba kuuliza:
(1)Tani moja ya mahindi inatoa kilo ngapi za unga wa sembe? Yaani unga kilo ngapi na pumba kilo ngapi? Au kwa lugha nyingine kilo moja ya mahindi inatoa unga wa sembe asilimia ngapi ya kilo nzima?
(2)Bei ya viroba (kutengeneza na kuweka nembo) ni sh. ngapi kwa viroba vya kilo 5, 10, 20 na 25?
(3)Mashine ya kufunga viroba inauzwa bei gani?