Hashim bin Faustin
Senior Member
- Jan 30, 2017
- 177
- 216
Jamani Leo nimeenda dukani kununua UNGA wa Ugali chakushangaza bei nikaikuta kilo Tsh 2000/=, nikauliza mchele je nikajibiwa Tsh 1800/= Duu unga bei juu zaidi ya mchele ??? Tola lini mambo haya !! Nikapatwa na wasiwasi, Nikasikia sauti ya Makonda ikininon'goneza "Mwenye Kuuza unga na Mwenye kutumia unga wote tutawakamata Duuu , !! Kwa bei hii nikaona naingizwa kwenye mtego wa Makondaaaa. Toka lini unga wa mahindi ukawa bei juu zaidi ya Mchele ?? Au kuna Njaaaa Au hakuna Njaaaa ila kunauhaba wa Mahindi ??? Nikatafakari nikaona kama kungelikuwa na Njaaaa Serikali yetu Tukufu ingetangaza baaaa la njaaa !!! Nikatoka mbiyo mkuku...!! Nikiogopa kuunganishwa kwenye list ya watumiaa unga. Je ni unga upi unaotafutwa ?? Naomba mnijuze nina hamu ya Ugali lakini naogopa Jamani !! Au kuna Njaaaaa