smartj
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 296
- 152
Ni ukwel usio pingika vijana wengi wanaishi maisha ya maigizo , ndio sababu kubwa inapelekea kutumia madawa ya kulevya hawatak kuwa wavumilivu na kupambana na hali halisi ya maisha si lazima kuishi kwa anasa ishi maisha yako wala si dhambi [HASHTAG]#ujanjaujanja[/HASHTAG] utatupoteza vijana tuwe wavumilivu na wapambanaji.