ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,683
- Thread starter
-
- #21
huawei kueka firmware ni rahisi tu download firmware halafu extract hakikisha firmware ipo folder la dload hamisha firmware na folder lake kwenye memory card halafu washa kwenye download mode itaflash
nenda setting halafu about angalia kama simu yako ni B209.
Asante chief si ndo hilo hapo juu ngoja nifanye hivyo
Sorry Chief simu haiwezi kunifikisha kote huko sababu inawaka inaishia njiani inaishia kwenye WELCOME ......(ENGLISH)....START nikiclick start inaload kisha inaniletea ujumbe huo halafu inanirudisha mwanzo!!! Nimeingia kwenye website ya huawei nimechagua simu huawei ascending Y300 wakaniletea hii kwenye picha nikaclick download Software update mbele B209 jee hii si ni firmware sahihi ya huawei y 300?nenda setting halafu about angalia kama simu yako ni B209.
pia hio site ni ya huawei? sioni domain kwenye hio pic
ukitoa battery itakua imeandikwa nyumaSorry Chief simu haiwezi kunifikisha kote huko sababu inawaka inaishia njiani inaishia kwenye WELCOME ......(ENGLISH)....START nikiclick start inaload kisha inaniletea ujumbe huo halafu inanirudisha mwanzo!!! Nimeingia kwenye website ya huawei nimechagua simu huawei ascending Y300 wakaniletea hii kwenye picha nikaclick download Software update mbele B209 jee hii si ni firmware sahihi ya huawei y 300?
ukitoa battery itakua imeandikwa nyuma
Chief pia naomba kuuliza nimedownload hilo file nimemaliza na pia nimefungua ndani nimeona kuna file linaonesha hiyo B209 pia kuna ya huawei y300-0100!! Na ndani kabla ya kuextract kuna file la dload sasa hilo file la dload nalifanyaje na hilo file ya firmware nakifanyaje??huawei kueka firmware ni rahisi tu download firmware halafu extract hakikisha firmware ipo folder la dload hamisha firmware na folder lake kwenye memory card halafu washa kwenye download mode itaflash
mkuu sijui hio b209 imetoka vipi ila nimegoogle firmware ya y300-0100 nimepata hiiChief pia naomba kuuliza nimedownload hilo file nimemaliza na pia nimefungua ndani nimeona kuna file linaonesha hiyo B209 pia kuna ya huawei y300-0100!! Na ndani kabla ya kuextract kuna file la dload sasa hilo file la dload nalifanyaje na hilo file ya firmware nakifanyaje??
Nashukuru chief nimeona hilo file lakini naona wameandika ni la tarehe 2014-8-6 au tarehe haina shidaa chief???? Pia nomba unielekeze vizuri kuhusu hilo dload maana ulisema nacopy kama lilivyo na firmware kwenye memorycardmkuu sijui hio b209 imetoka vipi ila nimegoogle firmware ya y300-0100 nimepata hii
http://consumer.huawei.com/bd/support/products/downloads/detail/ascend-y300-bd.htm?id=25304
hilo folder la dload linakaa kwenye root ya memory card na ndani yake ndio kunakuwa na firmware
kinachotakiwa tu uwe na folder la dload haijalishi limetoka wapi.Nashukuru chief nimeona hilo file lakini naona wameandika ni la tarehe 2014-8-6 au tarehe haina shidaa chief???? Pia nomba unielekeze vizuri kuhusu hilo dload maana ulisema nacopy kama lilivyo na firmware kwenye memorycard
UpoKuna uwezekano wa kuroot Huawei y300?
Nimeweka hiyo ulionitumia Chief lakini inainstall ikifika sehemu inagoma inaandika update failed! Step one inamaliza lakini step 2 inagoma!!!kinachotakiwa tu uwe na folder la dload haijalishi limetoka wapi.
chomeka memory card kwenye pc au simu nyengine tengeneza folder linaloitwa dload halafu extract firmware yako then kapaste ndani ya hilo folder la dload hio firmware
soma vizuri hapa
How to flash stock firmware on any Huawei Smartphone
kuhusu hio tarehe ni sawa, usitegemee huaawei kusuport hiko kisimu hawawezi toa firmware mpya
Mkuu jaribu kwenda kwenye recovery mode then clear cache,clear data na kisha clear all user data hope itarudi normalNina simu yangu huawei y300 ilikuwa inanisumbua sasa nikaamua kuifanyia Factory reset sasa baada ya kuifanyia factory reset nilivyo iwasha inawaka inaniambia welcome na language imeniwekea English niki click start ina load halafu inaniletea huo ujumbe nimerudia mara kurudia lakini inakataa ikileta huo ujumbe inanirudisha mwanzo kwenye start msaada tafadhari jinsi ya kufix
Kuna sehemu nimesoma kuwa nitumie TWRP recovery lakini siijui inakuwaje wala madhara yake msaada tafadhari
jaribu kutafuta firmware nyengine mkuuNimeweka hiyo ulionitumia Chief lakini inainstall ikifika sehemu inagoma inaandika update failed! Step one inamaliza lakini step 2 inagoma!!!