ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,683
Firmware ya simu yangu naidownload nayo kwenye PC?Download odin kwny pc download firmware ya sim yako..
Fungua odin,sehem ya AP weka io firmware ukiodownload,
Zima simu iweke recovery mode alaf chomeka usb,rudi odin itadetect sim yako..bonyeza start..
Sit back in enjoy..
N.b fanya njia hii baada ya hardreset kugoma na uhakikishe u a download firmware husika..so ujue phone model
Ndio mkuu,zama google andika model ya sim yako ongezea firmware, itakujaFirmware ya simu yangu naidownload nayo kwenye PC?
Sawa mkuu na hii odin je naon! Zinakuja za samsung!Ndio mkuu,zama google andika model ya sim yako ongezea firmware, itakuja
Kwa aina ya sim yako..Sawa mkuu na hii odin je naon! Zinakuja za samsung!
Firmware inaweza fika 640 MB??Kwa aina ya sim yako..
Best tumia soft method..
Tumia pc download updated firmware, hamishia kwny memory card..
Zima sim bonyeza volume down,up na button ya kuwashia,itaanza ku update..
Ikmalza,tatzo solved
Yap...inawezekanaFirmware inaweza fika 640 MB??
So solutionSidhan odin kama zinafanya kazi kwa huawei odin najua huwa inatumika kwa samsung
Upo ryt mkuu, nljua samsu' ,nlposhtuka nkambadlshia methodSidhan odin kama zinafanya kazi kwa huawei odin najua huwa inatumika kwa samsung
Yap...inawezekana
Miracle box nayo si mpango kwa model io'Sidhan odin kama zinafanya kazi kwa huawei odin najua huwa inatumika kwa samsung
Hii haihitaji bootloader kuwa on??Kwa aina ya sim yako..
Best tumia soft method..
Tumia pc download updated firmware, hamishia kwny memory card..
Zima sim bonyeza volume down,up na button ya kuwashia,itaanza ku update..
Ikmalza,tatzo solved
Kwani imeleta error yeyote mkuu?Hii haihitaji bootloader kuwa on??
Hapanaa nimeanza kudownload hiyo picha hapo juu si umeionaa nikawa naogoapa isije kuwa firmware tofauti maana nimeandika huawei y300 firmware wakaniletea hiyo hapoKwani imeleta error yeyote mkuu?