Unexpected shut down

mtzedi

JF-Expert Member
Dec 13, 2011
5,597
5,602
laptop inazima ghafla halafu ina restart na kuonesha kwenye screen WINDOW RECOVERED FROM UNEXPECTED SHUTDOWN.
 
laptop inazima ghafla halafu ina restart na kuonesha kwenye screen WINDOW RECOVERED FROM UNEXPECTED SHUTDOWN.

Ongeza maelezo,hiyo message ikija ndiyo busi au kuna kitu kingine inakuwa inajaribu kufanya?Sometimes ukilazimisha kuzima computer wakati inafanya windows update nahisi hiyo message ukija washa next time ndiyo huwa inakuja.Naomba kujua kuna kingine kinaenedelea zaidi ya hiyo message.Say inajaribu kufix?
 
inazima ghafla halafu ina restart
 
inazima ghafla halafu ina restart

Ok.Sijui uelewa wako technically,ila zima laptop.Iwashe,ikianza kuwaka tu kabla haijaanza kuonyesha chochote kwenye screen bonyeza button F8 (unabonyeza na kuachia repeatedly) mpaka itafunguka page inakuwa na option nyingi.(repair,safe mode etc.)Tumia scrow down key kuchagua repair my computer(sina uhakika kama ni repair my computer au repair only) ila ni option ya kwanza by default.Chagua hiyo ya kurepair then let me know,uwe mvumilivu huwa inachukua muda kidogo,dont interrupt iache mpaka imalize.Ni muhimu utufahamishe kama tatizo litakuwa solved na njia iliyolisolve ili iweze saidia wengine in days to come.Thanks
 
Nilipata tatizo kama hilo mwishowe ikazima mazima,mganga wa comp akaniambia Disc ngumu imjuruhiwa vibaya so I had to buy a new one.Kwa hiyo chukua hatua
 
Nilipata tatizo kama hilo mwishowe ikazima mazima,mganga wa comp akaniambia Disc ngumu imjuruhiwa vibaya so I had to buy a new one.Kwa hiyo chukua hatua

Pole,inawezekana alitaka apate chochote kutoka kwako(kama issue haikuwa hard disc).Hiyo message anayopata hutokea mara nyingi,sometimes antivirus zinasababisha ila mimi ilinitokea nilipozima laptop wakati bado iko inafanya windows updates.Maranyingi solution yake huwa ni kurepair window,ni tatizo la software zaidi na siyo hardware.
 
Back
Top Bottom