huoni huo ni ugonjwa? sasa una raha gani? unaponenepa sana mguu inashindwa kubeba sahem ya juu ya mwili matokeo yake mifupa inchoka hata kusagika. siyo kitu cha kucheka hata kidogo.
Njia za kuepuka unene nyingi sana but ambazo ni rahisi apart fom dietry contol kuna mazoez kama vile kuogelea. tena hili huwa linapunguza mwili kwa muda mfupi sana, lakin pia aerobics zipaunguza mwili. nafikiri MziziMkavu atawaambieni zaid.