Kuna watu wamelzwa alots of money na wengne kuuliwa zaid, mara ya kwanza walianza kama refugees camp from senegar, wakaona hailip wakaja kama international scholarship uko nako wakafanikisha badae wakaja as wanajifanya wabongo wanatafsir kiswahil kwa google afu wanatawanya msg zao, na ndio sasa fraud yao ipo kwenye job vacancy in LONDON.. KUMBE UONGO MTUPU CHA MSING NI KUWA 2 MAKIN NA WATU NA MASHIRIKA YA NJE USIYOKUWA NA UHAKIKA NAYO wengne wametolewa fgo!