UNEA 2014 android app developed by a tanzanian

gud newz am happy saiz hata wadada wa tz wanatengeneza app kiukwel i am inspired

bad newz nmeifuta mana kiukwel mi sio mwanamazingira na ingependeza kichwa cha habar kingejitosheleza tujue mapema app inahusu nini.
 
you may have a point there!butili tuwe juu lazima tujifunza ku deal na fair competence sio kubebwabebwa!mbona nina wana kibao wa kibongo wanafanya vyema katika fani mbalimbali huko kwenye uso wa dunia?iweje huku matakoni kwa dunia ambapo competition sio kubwa kivile bado tunataka mbeleko!
 
hiyo App michosho tu! Bora ni download OLX app au Tigo pesa app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…