Huu ni ukweli ambao ni Mchungu kwa watu wengi kuusikia ni kuwa Chadema imeshakufa hivyo... kwa sababu kazi ambayo Dr Magufuli ataifanya ni kuwa CHADEMA watakosa cha kunadi 2020 na hawatakuwa na jipya...
kwa sababu kazi ambayo Dr Magufuli ameifanya itakuwa ni kubwa mno.
na wagombea wake watakuwa hawana sifa ukizingatia 2015 walishaharibu kwa kumwingiza lowassa kuwa ndio mgombea urais kwa mwamvuli wa ukawa ile ilikuwa ni karata mbaya sana kwa chadema
na cha ajabu wasomi ambao wako chadema sijui kwanini hawakumshauri mbowe kuwa anakiua chama wenye akili zaoo kina Lipumba na Slaa wakakaa pembeni
nilishasemaga hapa na nitasema
chadema ilikuwa na watu vichwa ambao wangeisaidia kufika mbali kama kina ZITO NA MKUMBO sasa hawa watu wameonekana hawafai badala yake watu wanaonekana ni vichwa ni
lema, nasari, sugu, jay, kiria,kileo unategemea kuna kitu hapo??