Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,157
- 10,816
Walimtaja Lowassa kwenye list of shame, na walimtukana na kumsema kwa miaka kama 8, huku msigwa, sugu, Lissu, Lema wakizungumza kila neno baya juu ya Lowasa na ufisadi wa CCM
Slaa alipita nchi nzima akieleza bayana uchafu wa Lowassa na CCM,
Baada ya Mbowe kupiga hesabu zake za kibiashara na kuona kuna faida ya Lowassa akiingia chadema (a mbayo ameipata) kuongeza ruzuku na wabunge , na ili aendelee kutawala chadema kwa mkono wa chuma, na kila mwana CHADEMA 'msukule' atamsifia kuwa ameongeza viti hivyo anafaa!
Mbowe na kundi lake walitumia siasa na maneno ambayo hayakuwa rahisi kueleweka kwa wananchi! ikumbukwe LowasSa aliishakuwa popular hata kabla ya kuingia CHADEMA ilikuwa jukumu la chadema kama lina upendo kwa taifa hili, kuwazuia wale wenye mahaba na Lowassa kuwa huyo mtu ni fisadi!
CHADEMA ikamnadi Lowasa kama mtu safi! ambaye ameathiriwa na mfumo tu wa CCM na serikali yake, na kwa kisingizo hicho ikaenda mbali zaidi kwa kusema rushwa kubwa zingine ambazo wao wana uhakika Lowassa hakuhusika kwasababu tu hakuwepo madarakani!
Leo kwa CHADEMA unaruhusu mtu yeyote aliyeko CCM na serikali yake waendelee kula rushwa tu kwa sababu tatizo ni MFUMO, kwa akili za chadema na wanachama wake, kwao MFUMO NI lijitu linakuja au kuanguka kutoka angani..MFUMO SIO MTU, KWA CHADEMA ..UFISADI UENDELEE TU MPAKA WAO WATAKAPOINGIA MADARAKANI
Ndio, kwani wakipinga vita rushwa, watatumia vigezo gani?
viti mmeongeza, ruzuku mmeongeza, ila chama mmekiua......
Rushwa ni neno gumu kwa CHADEMA sasa, wamethibitisha hilo baada ya kuondoa List of shame kwenye mtandao wao!! hivi kama vita kubwa sio rushwa kwa Tanzania ya sasa itakuwa ni nini?
CHADEMA ilikuwa na uchu wa kuingia ikulu kwa namna yoyote ile, japo akili ya Mbowe alijua fika ikulu hawaendi.Tuhuma za Mbowe kula rushwa au kuuza chama, na kuendelea kumrubuni EL hazitakaa tusiziseme, tunahitaji ndugu zetu walioko chadema wafanyiwe deliverance/waokolewe na macho yao yaone ule ukweli..Kuwa Chadema imepoteza majimbo 11 sio habari ndogo! hata kidogowote tunataka CCM itoke , ila sio kwa style ile....na sio kwa style hii ya KUSEMA ..INFERING, kuwa watu wale tu RUSHWA kwa sababu mfumo ni mbovu
Nitashangaa sana kama watu na akili zenu mnaojiita wanachadema, mtaendelea aidha kuwa wapenzi wa hili chama au kukitetea kwa mahab yote, TAIFA LINA TATIZO LA RUSHWA NYIE MNALIONGEZEA IN THE NAME OF MFUMO?
disgusting!
wa kuchukiwa daima
waberoya