mwangellahs2 Member Joined May 1, 2017 Posts 20 Reaction score 8 May 26, 2017 #1 Wale wenye umri kama wangu,mnakumbuka ile enzi ya chupi za kiume zilikuwa zinaitwa VIP? Tukumbushane sifa za zile chupi. Ivi zilikuwa zitatokea wapi?
Wale wenye umri kama wangu,mnakumbuka ile enzi ya chupi za kiume zilikuwa zinaitwa VIP? Tukumbushane sifa za zile chupi. Ivi zilikuwa zitatokea wapi?
barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,405 Reaction score 29,802 May 26, 2017 #2 Ikikatika pale kati inapanda mpaka kwenye makwapa!
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,159 Reaction score 72,199 May 26, 2017 #3 Zinatokea kiwandani mkuu