Undani juu ya jamii inayokula nyama za binadamu

Undani juu ya jamii inayokula nyama za binadamu

Boss Manyota

Member
Joined
Nov 3, 2018
Posts
10
Reaction score
4
Jamii mbalimbali duniani zimekuwa na tamaduni za kipekee ambazo zimekuwa kwa kiasi fulani kuwa kama historia ama hadithi za kusadikika licha ya baadhi ya watu kuhusisha moja kwa moja na ukweli.

Nchini Papua New Guinea ndiko linalopatikana kabila ambalo limekuwa likihusishwa na ulaji wanyama za binadamu.

Kabila hili watu wake huishi maisha ya msituni na ya kale na inaelezwa kuwa kabda ya mwaka 1970 jamii hii lilikuwa halina ufahamu kama kuna binadamu wengine wanaoishi zaidi yao.

Nimekutana na Makala haya yaliyoandaliwa kwa umahiri huhusu kabila hili, itazame hapa



Kwa mwenye maelezo zaidi juu ya kabiila hili asisite kushare na sisi.
 
Kuna mambo mangi nimefikiria mkuu. How comes umle binaadamu mwenzio?

Hii ni hatari kwel kweli,,,kkama umetazama hiyo video, hao jamaa wanasema et wanakula wachawi lakini baadhi ya watafiti wanasema wapo watu waliopotea maeneo hayo ambao wanaaminika waliliwa na hilo kabila
 
Back
Top Bottom