Ndugu zangu
Moyo wangu unataka kupasuka kwa uchungu na machungu ya huyu wanayemsifikia kuwa ni Mtengenezaji wa Mafisadi (King Maker!)
Naomba wale Investigative Journalist na yeyote anayeweza kupekua tunataka kujua details maana issue ni ya ukweli. KWamba,Serikali yetu ilikopa mafuta toka Iran, na pesa zilikuwa zilipwe kutoka BOT kupitia ubalozi wa Iran hapa nchini.
Chakushangaza Rostam Aziz alikwenda kuchukua hizo pesa ati anakwenda kulipa deni hilo huko Iran, a total of USD 15 million. Lakini mpaka leo hii pesa hizo hazijafika.
Tunachopenda kujua ni kampuni gani aliitumia kuchukulia pesa hizo pale BOT, ninaambiwa na chanzo changu cha kuaminika kuwa ubalozi wa Iran unazo taarifa zote na wameconfirm, ila watu wetu wa sirikali wanaficha.
Hebu WanaJF tuzitafute taarifa hizi ili pesa zirudi. As we speak, RA yuko nje ya Nchi! Hii inashangaza sana, maana tuliambiwa amenyang'anywa passport kumbe ni rongorongo!
Tena fununu zinasema RA amenunua a very expensive amoured sports car ili kujilinda coz anawasiwasi wanusalama watammaliza bila consent ya wakubwa hivyo ameamua kujilinda na hii bullet proof sports car inayoweza kusafiri kwa kilometa 400 kwa saa! Maajabu ni kwamba hata TISS wahajui, hivi tunakwenda wapi??
Jamani moshi umefuka hebu tutafute moto uko wapi, nimelisema hili coz kuna mbinu kubwa za kulifunika! Hizo ni zaidi ya Tshs Bilion 17!Huu ni wizi wa wazi!

Hard to believe;
BP sports car and not an SUV?? 400km/h?? On which roads in TZ?
Source please
Hivi hawa watu vipi jamani? hii ni kweli?
How RA anapewa pesa kwenda kulipa deni la serikali jamani? Mbona mambo haya ni ya ajabu, kama nalo hili ni kweli basi tena
Na iweje watu kama hawa wanasafiri kutoka nje ya nchi wakati ni watuhumiwa wakubwa kabisa jamani,
Hivi wewe Pumbavu mwema (nina hasira mnisamehe jamani) unafanya kazi gani hapo????????
Kama ili nikweli nalo, basi sisi tumeisha kabisaa, tutakaa kusifika kwa amani na uchafu wa majiji yetu milele na milele
Nami nilitaka kuuliza kwa speed hizo atakuwa anakimbilia barabara ipi .Hivi kama ni kweli hil gari liko Tanzania tayari ama limesha agizwa ndiyo linakuja?Mleta habari tuletee kwa ukamilifu .Source mimi najua ni mleta habari maana habari kama hizi Masatu ukitaka source ni kumshika nyoka unatafuta miguu lazima akumalize .
Pesa RA kukimbia nazo si mara ya kwanza .Amewahi kukimbia na zie TISS na hata Mkuu fulani Jeshini naye alichota .Mama fulani Mbunge naye alichota kwa jina la kuvamiwa pesa toka kwa Jeetu akizipeleka Dodoma .CCM hizi ndiyo zao .
Hard to believe;
BP sports car and not an SUV?? 400km/h?? On which roads in TZ?
Source please
That is the right thinking ambayo wengi wetu tunajiuliza what the heck kuwa na gari yenye speed za namna hiyo? wengine wanasema hata kama kutawekwa vizuizi barabarani (road block), gari hii inaweza kupangua hizo road blocks, hence the reasoning behind the demand of such unreasonable speed on the Tanzanian roads, na hata kama askari wa vizuizi hivyo wata spray bullets then it will be useless coz its amoured.
Ndio maana tunawauliza TISS, mawazo haya ya kujilinda kwa namna hii hayatishii usalama wa taifa kama thinking ya kuwa na gari la aina hii ndio ilivyo? Gari hiyo imefungiwa kwenye nyumba yake moja wapo waende wakaibebe mpaka atoe maelezo ya kuridhisha....!
Na kwataarifa yenu huyu jamaa kabla ya kuondoka alikuwa anatumia magari zaidi ya matano kwa siku, ati kwa sababu ya usalama wake!
Kutoka kwenye kitabu cha namba za simu za Wabunge. Namba ya Rostam Aziz ni 0754555555; hebu mpigieni muulizeni kuhusu uzushi wa mnyoofu. Kwani siku yuko hapa hapa Tanzania?
Asha
Lets be serious for once. This is garbage and waste of time. Any payment to a foreign company or country is made through Banking system wiring of funds and for such big amount.
Usituletee ujinga hapa na kutona wote mazobwe eti pesa walikuwa walipwe ubalozi wa Iran Dar! Which account in what bank in Tanzania an embassy will hold US $15 mil? Why not BOT transfer funds from our accounts with FRB in NY to BOI accounts?
Damn it you spoiled brats! No one is a kid but you chei chei shangazi!
reverend, don't count that possibility outright.. Kama kuna vitu ambavyo naamini nimejifunza kwa siku hizi chache ni kuwa katika tanzania "yote yawezekana". Kama waliweza kuchota bilioni 133 mbele ya macho ya Benki Kuu... naamini wanaweza kuchota "tu" milioni 15 kiurahisi kama kumchomolea mlevi!
Anyway, I'm cautiously dismisive..
Ndugu zangu
Moyo wangu unataka kupasuka kwa uchungu na machungu ya huyu wanayemsifikia kuwa ni Mtengenezaji wa Mafisadi (King Maker!)
Naomba wale Investigative Journalist na yeyote anayeweza kupekua tunataka kujua details maana issue ni ya ukweli. KWamba,Serikali yetu ilikopa mafuta toka Iran, na pesa zilikuwa zilipwe kutoka BOT kupitia ubalozi wa Iran hapa nchini.
Chakushangaza Rostam Aziz alikwenda kuchukua hizo pesa ati anakwenda kulipa deni hilo huko Iran, a total of USD 15 million. Lakini mpaka leo hii pesa hizo hazijafika.
Tunachopenda kujua ni kampuni gani aliitumia kuchukulia pesa hizo pale BOT, ninaambiwa na chanzo changu cha kuaminika kuwa ubalozi wa Iran unazo taarifa zote na wameconfirm, ila watu wetu wa sirikali wanaficha.
Hebu WanaJF tuzitafute taarifa hizi ili pesa zirudi. As we speak, RA yuko nje ya Nchi! Hii inashangaza sana, maana tuliambiwa amenyang'anywa passport kumbe ni rongorongo!
Tena fununu zinasema RA amenunua a very expensive amoured sports car ili kujilinda coz anawasiwasi wanusalama watammaliza bila consent ya wakubwa hivyo ameamua kujilinda na hii bullet proof sports car inayoweza kusafiri kwa kilometa 400 kwa saa! Maajabu ni kwamba hata TISS wahajui, hivi tunakwenda wapi??
Jamani moshi umefuka hebu tutafute moto uko wapi, nimelisema hili coz kuna mbinu kubwa za kulifunika! Hizo ni zaidi ya Tshs Bilion 17!Huu ni wizi wa wazi!
kwanza nakushukuru kwa kutuletea hii
lakini hilo la kusema Invetigative journalist AFANYE UCHUNGUZO LISAHAU
Waandishi wenyewe tulionao ni dizaini za akina SAIDI KUBENEA sasa bado unataka waende kuivestigate nini
Tatizo la JF ni kuwa watu hawana credible sources of info na mimi nishakuwa victim wa hili
kilichobaki tunaendelea kujadili speculations
ROSTAM kuwa na bullet prrof car sidhani kama ni dhambi na wala sidhani kama nahitaji kuwa na kibali toka kwa yoyote yule. Najua jamaa wameingiza ma BMW kibao Dar ambayo nayo ni bullet proof.
Kwa jinsi huyo RA alivyonapesa i am 100% sure kuwa hawezi kubania hizo £15 million
njoo na angle nyingine lakini hii bado haijakaa sawa
hebu tuambie irregularities ziko wapi au zimefanyika wapi then sistajua namna ya kwenda from there