Ndugu zangu
Moyo wangu unataka kupasuka kwa uchungu na machungu ya huyu wanayemsifikia kuwa ni Mtengenezaji wa Mafisadi (King Maker!)
Naomba wale Investigative Journalist na yeyote anayeweza kupekua tunataka kujua details maana issue ni ya ukweli. KWamba,Serikali yetu ilikopa mafuta toka Iran, na pesa zilikuwa zilipwe kutoka BOT kupitia ubalozi wa Iran hapa nchini.
Chakushangaza Rostam Aziz alikwenda kuchukua hizo pesa ati anakwenda kulipa deni hilo huko Iran, a total of USD 15 million. Lakini mpaka leo hii pesa hizo hazijafika.
Tunachopenda kujua ni kampuni gani aliitumia kuchukulia pesa hizo pale BOT, ninaambiwa na chanzo changu cha kuaminika kuwa ubalozi wa Iran unazo taarifa zote na wameconfirm, ila watu wetu wa sirikali wanaficha.
Hebu WanaJF tuzitafute taarifa hizi ili pesa zirudi. As we speak, RA yuko nje ya Nchi! Hii inashangaza sana, maana tuliambiwa amenyang'anywa passport kumbe ni rongorongo!
Tena fununu zinasema RA amenunua a very expensive amoured sports car ili kujilinda coz anawasiwasi wanusalama watammaliza bila consent ya wakubwa hivyo ameamua kujilinda na hii bullet proof sports car inayoweza kusafiri kwa kilometa 400 kwa saa! Maajabu ni kwamba hata TISS wahajui, hivi tunakwenda wapi??
Jamani moshi umefuka hebu tutafute moto uko wapi, nimelisema hili coz kuna mbinu kubwa za kulifunika! Hizo ni zaidi ya Tshs Bilion 17!Huu ni wizi wa wazi!