Jaman nna girl wangu kama miezi 4 sasa, alinipa password ktk account yake fb pia yangu anayo. Sasa katika pita zangu kuna mdogo wa mama yake (uncle yake) yuko masomoni abroad huwa anachat nae saaana tu. Sasa maongezi yao yametawaliwa na mapenzi eti wanataniana lakini mm nkavumilia miezi mingi sasa. Sasa nka pm uncle mtu bwana punguzeni huo utani manake mnanikosesha raha sasa jamaa kaja juu anamwambia gal frnd wangu eti nimemwambia kuwa yy gal frnd wangu aliniambia anamtongoza wakati yy kaka ake. Yaani katumia hasira na kusema wasijuane tena. Sasa najiuliza kama ungekuwa utani si angepotezea tu? Kwann afanye yote hayo kwa hasira kama si kweli?! Nisaidieni kimawazo wana jf
we nawe c ungemwambia huyo gal frend wako apunguze matani,kilichokusibu kwenda kwa uncle ni nini,huna adabu,kaombe radhi,hata kama umeoa na mkeo anacheat,deal na mkeo sio third part
pole kwa kujiua mwenyewe looJaman nna girl wangu kama miezi 4 sasa, alinipa password ktk account yake fb pia yangu anayo. Sasa katika pita zangu kuna mdogo wa mama yake (uncle yake) yuko masomoni abroad huwa anachat nae saaana tu. Sasa maongezi yao yametawaliwa na mapenzi eti wanataniana lakini mm nkavumilia miezi mingi sasa. Sasa nka pm uncle mtu bwana punguzeni huo utani manake mnanikosesha raha sasa jamaa kaja juu anamwambia gal frnd wangu eti nimemwambia kuwa yy gal frnd wangu aliniambia anamtongoza wakati yy kaka ake. Yaani katumia hasira na kusema wasijuane tena. Sasa najiuliza kama ungekuwa utani si angepotezea tu? Kwann afanye yote hayo kwa hasira kama si kweli?! Nisaidieni kimawazo wana jf
Jaman nna girl wangu kama miezi 4 sasa, alinipa password ktk account yake fb pia yangu anayo. Sasa katika pita zangu kuna mdogo wa mama yake (uncle yake) yuko masomoni abroad huwa anachat nae saaana tu. Sasa maongezi yao yametawaliwa na mapenzi eti wanataniana lakini mm nkavumilia miezi mingi sasa. Sasa nka pm uncle mtu bwana punguzeni huo utani manake mnanikosesha raha sasa jamaa kaja juu anamwambia gal frnd wangu eti nimemwambia kuwa yy gal frnd wangu aliniambia anamtongoza wakati yy kaka ake. Yaani katumia hasira na kusema wasijuane tena. Sasa najiuliza kama ungekuwa utani si angepotezea tu? Kwann afanye yote hayo kwa hasira kama si kweli?! Nisaidieni kimawazo wana jf
Ni vipi kaka/mjomba anamwambia dada/mpwa wake wasijuane tena? Uhusiano wa kindugu haumalizwi kwa staili hiyo, ndugu atabaki kuwa ndugu no matter what.
Isipokuwa uhusiano wa mapenzi unaweza kumalizwa kwa staili hiyo, sijui na wewe umehakikisha vipi kuwa huyo ni kaka/mjomba wake.
Kwenye maelezo yako ni uncle wake, lkn huyo uncle akawaka na kusema yeye ni kaka yake, now which is which?
Jaman nna girl wangu kama miezi 4 sasa, alinipa password ktk account yake fb pia yangu anayo. Sasa katika pita zangu kuna mdogo wa mama yake (uncle yake) yuko masomoni abroad huwa anachat nae saaana tu. Sasa maongezi yao yametawaliwa na mapenzi eti wanataniana lakini mm nkavumilia miezi mingi sasa. Sasa nka pm uncle mtu bwana punguzeni huo utani manake mnanikosesha raha sasa jamaa kaja juu anamwambia gal frnd wangu eti nimemwambia kuwa yy gal frnd wangu aliniambia anamtongoza wakati yy kaka ake. Yaani katumia hasira na kusema wasijuane tena. Sasa najiuliza kama ungekuwa utani si angepotezea tu? Kwann afanye yote hayo kwa hasira kama si kweli?! Nisaidieni kimawazo wana jf
kha!!! yaani wanaume mnalewa penzi mpaka kuanza kupeana password na kidemu...unatania weye!
Me nmenwacha free bt hili la uncle lilinitisha au ndivyo wasukuma walivyo mkuu?
Childish story