Wananchi wana uwezo wa kuzuia udhalimu huu pindi ifikapo 2015.
sijawahi kusikia polis wakipinga maandamano ya kuipongeza serikali katika taifa letu. Polis wa tanzania wanaongozwa na maccm badala ya taratibu, kanuni na sheria!Gari za police zinapita mitaani Arusha zikitangaza marufuku ya maandamano ya chadema kesho kwa mbwembwe na vitisho lakini cha ajabu hawaongelei marufuku ya maandamano ya ccm ambapo mwanzoni walisema zuio linahusiana na mwingiliano wa maombi ya maandamano.UKWELI WANANCHI WAMEBAKI WANACHEKA NA KUSHANGAA WAKIULIZA"KWANI WANANCHI WAKIANDAMANA KISHA WAWAUE WOTE WATAKUA WANAWATUMIKIA NANI?KWA NINI WASIACHE HOJA ZIJIBIWE NA CHAMA TAWALA??TANGU LINI WAMESAHAU YA KWAMBA WAO NI WALINZI WA RAIA NA MALI ZAO SIO WALINZI WA CHAMA TAWALA???WANANCHI WANASEMA WATATOKA WAJIONEE HUKOHUKO.
Yaani kuchagua magaidi ndiyo waingie Ikulu, Watanzania si wajinga kiasi hicho dogo. 2015 mrithi wa Kikwete hatoki kwenye genge la watesaji Lenye sura ya chama cha siasa.
umegeuzwaYaani kuchagua magaidi ndiyo waingie Ikulu, Watanzania si wajinga kiasi hicho dogo. 2015 mrithi wa Kikwete hatoki kwenye genge la watesaji Lenye sura ya chama cha siasa.
Nimeona gari za polisi pia mbeya na ving'ora vyao bt sijaconfirm zinaenda wapi