Unazijua Fursa wewe?

mhm! haya sasa ni mambo mazito itafikia hatua
ya kuweka rehani miili ya watu kwa waganga
 
Judgement njoo huku, kuna jamaa ana madaraka juu ya tanesco na Prof. Muongo
 
Last edited by a moderator:

mbona kila mtu ana m cc shem wangu Judgement?
kwani ye kigagula?au aiskrimu zimemponza!!

 
Last edited by a moderator:
eh.. dawa tena? kiasi gani inapatikana....?
 
Hahaa

Haloo ya fursa

Fursa zingine bwana!
 

mbona kila mtu ana m cc shem wangu Judgement?
kwani ye kigagula?au aiskrimu zimemponza!!


C.c zote hizo Shem nazikubali !
Coz mie si ndiyo niliekuja na kilio cha mgao?
Hata wewe naona umeathiriwa sana na brutalin ya wajeda than umeme !
 
Last edited by a moderator:
Hivi shem kumbe mumeo Judgement ni Kalumanzira? Hakika sikuwa najua!

Una balaa wewe, sikumaanisha hvyo jaman. Mwanza hawana umeme so waende hapo kutatuliwa tatizo lao. Acha uchonganishi wako huko.
 
Last edited by a moderator:
C.c zote hizo Shem nazikubali !
Coz mie si ndiyo niliekuja na kilio cha mgao?
Hata wewe naona umeathiriwa sana na brutalin ya wajeda than umeme !

hahahaaaa!!kila mtu na kilio chake
hatareee shem langu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…