ndugu zangu, nina hili suala ambalo linanitatiza sana, naomba ushauri wenu wa dhati.
mimi ni mama (48yrs old), nimeolewa nina watoto watatu (22, 18, 16 yrs), naipenda familia yangu, zaidi sana nampenda mume na baba watoto wangu, na maisha yetu kwa kweli ukiacha tatizo hili, tuko murua kabisaa. shida tuna tatizo hili; miaka ya hivi karibuni baba watoto "jogoo wake amekuwa hawikii" kabisa kutokana ugonjwa wa kisukari na matibabu yake. na mimi mara kwa mara nimekuwa na wazo la kutafuta kijana wa nje kwa ajili ya mahusiano ya kimapenzi (tendo la ndoa) kwa sababu physically bado ninahitaji. sasa ndugu zangu naomba mnishauri (nafahamu ya kuwa imani ya dini inakataza) ila uhitaji unanizidi hadi nashindwa kufanya kazi zangu vyema. sasa naomba mawazo, je itakuwa vibaya (kijamii) kama nikitoka nje na kwa siri? kama hapana nifanyeje kutatua tatizo hili?
NB: kitu nacho miss naona ni ile penetration, kwani style nyinginezo tunazitumia na huwa ananifikisha kileleni
(moderator sina uhakika hii post kama hapa ni pahali pake, please advice kama sio)

Namaanisha hicho hapo kwenye red sijakipata pata vizuri ukijumlisha na hiyo bluu.
mimi ni mama (48yrs old), nimekuwa na wazo la kutafuta kijana wa nje kwa ajili ya mahusiano ya kimapenzi (tendo la ndoa) kwa sababu physically bado ninahitaji. sasa ndugu zangu naomba mnishauri (nafahamu ya kuwa imani ya dini inakataza) ila uhitaji unanizidi hadi nashindwa kufanya kazi zangu vyema. sasa naomba mawazo, je itakuwa vibaya (kijamii) kama nikitoka nje na kwa siri? NB: kitu nacho miss naona ni ile penetration, kwani style nyinginezo tunazitumia na huwa ananifikisha kileleni
Namaanisha hicho hapo kwenye red sijakipata pata vizuri ukijumlisha na hiyo bluu.
hii inaonyesha wewe na mume wako you have never talked of your feelings. hapo mama unatafuta conflict which will cost you for the remaining portion of your life. Jamani tatizo hapo ni "communication kati yenu wawili". mimi nadhani wakati uko na mume wako kitandani na baada ya wewe kifika kileleni kama ulivyo eleza hapo juu. huo ndio wakati wa kusema matatizo yako then you may get to consensus. Sasa wewe kama unakufa pole pole na shida yako na huja mweleza mwenzio kosa la nani hapo? speak out your mind and get a better solution. Hivi utajisikiaje au utakua mgeni wa nani mtoto wako wa kike akufumanie na boyfriend wake? Je utamuomba msamaha? au tajishitaki kwa mume wako?