P polytrix Member Joined May 27, 2015 Posts 72 Reaction score 19 Jun 1, 2015 #121 SirChief said: ndo maana nkasema bado sijaona sababu za msingi za kuoa wake wawili... Click to expand... ni tamaa tu.hata suleimani ilikuwa tamaa na ndo maana alipogundua hauwezi kimbizana na tamaa akasema ni kujilisha upepo.hakuna ukweli kuwa mwe tamaa akiwa na wawili ataacha kutamani,uzoefu tunauona hata mtaani,
SirChief said: ndo maana nkasema bado sijaona sababu za msingi za kuoa wake wawili... Click to expand... ni tamaa tu.hata suleimani ilikuwa tamaa na ndo maana alipogundua hauwezi kimbizana na tamaa akasema ni kujilisha upepo.hakuna ukweli kuwa mwe tamaa akiwa na wawili ataacha kutamani,uzoefu tunauona hata mtaani,
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,520 Reaction score 6,517 Jun 6, 2015 #122 bibi.com said: Ni kijana gani anataka kuoa kikongwe? Kama wapo ni wachache sana Click to expand... Sio kuoa bali kugegeda na kusepa :typing:
bibi.com said: Ni kijana gani anataka kuoa kikongwe? Kama wapo ni wachache sana Click to expand... Sio kuoa bali kugegeda na kusepa :typing: