Unawezaje kuitaka CHADEMA ipeleke watu mahakani wakati waliozushiwa tuhuma ni individuals ndani ya chama?

Kama Viongozi wa juu ndani ya Chama waliweza Kuwa wanapanga hujuma dhidi ya wenzao Kwanini tusiamini Kuwa Hata ya Ben saanane Na ya Lissu Ni michezo hiyo hiyo?
Kwa hiyo wale wakina sophia simba walivyokuwa na imani na lowasa wakakatwa yakaja haya ya moo kumbe ccm inahusika?

Pia ni democracy sio kila kosa ni kufukuza
 
Binafsi sijasikiliza hiyo clip bali nimesoma maelezo ya kilichomo katika hiyo clip ambayo inaonekane kuwalenga watu binafsi ndani ya chama na si chama chenyewe.

Swali:
Kama waliotaka kufanyiwa uhalifu/hujuma ni watu binafsi ndani ya chama, chama kinawezaje kumpeleka mtuhumiwa mahakamani ili hali sio chama kilicholengwa?

Hiyo kesi kwa jina la chama utaifunguaje?
TOO LATE TO REVERSE.
 
Kama Viongozi wa juu ndani ya Chama waliweza Kuwa wanapanga hujuma dhidi ya wenzao Kwanini tusiamini Kuwa Hata ya Ben saanane Na ya Lissu Ni michezo hiyo hiyo?
Ndio maana polisi wakakataa uchunguzi huru au?
 
Binafsi sijasikiliza hiyo clip bali nimesoma maelezo ya kilichomo katika hiyo clip ambayo inaonekane kuwalenga watu binafsi ndani ya chama na si chama chenyewe.

Swali:
Kama waliotaka kufanyiwa uhalifu/hujuma ni watu binafsi ndani ya chama, chama kinawezaje kumpeleka mtuhumiwa mahakamani ili hali sio chama kilicholengwa?

Hiyo kesi kwa jina la chama utaifunguaje
------------------------------------------------------------------------
Chama chochote hakiwezi kuexist bila wanachana. Sifa ya chama ni wanachama. Kama wamefanya jinai dhidi ya wanachama kwa vyovyote wamekigusa chama. Sasa ikiwa viongozi ndiyo target yao hapa ndo chama kinahusika kabisa kutokana na mjadala kuwalenga viongozi chamani.
Naikiwa aliefanyiwa jinai ni raia nani anahusika
 
Naikiwa aliefanyiwa jinai ni raia nani anahusika
Jinai ni ishu ya individuals, nilichomaanisha ni kwamba mtu anaweza kukichafua chama kwa kumlenga mwenyekiti au kiongozi yeyote yule kwasababu mtu kama Mbowe ni representative wa wanachama wake. Japo anaweza kuwa yeye mwenyewe. So jinai kwa raia atasimama mwenyewe kama ambavyo mwingine anaweza kusimama.
 
Mwenyekiti wa Chama kawa "individual"
Mbona Issue ya ngada mliifanya ni ya chama?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom