Unawezaje kuitaka CHADEMA ipeleke watu mahakani wakati waliozushiwa tuhuma ni individuals ndani ya chama?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,371
Binafsi sijasikiliza hiyo clip bali nimesoma maelezo ya kilichomo katika hiyo clip ambayo inaonekane kuwalenga watu binafsi ndani ya chama na si chama chenyewe.

Swali:
Kama waliotaka kufanyiwa uhalifu/hujuma ni watu binafsi ndani ya chama, chama kinawezaje kumpeleka mtuhumiwa mahakamani ili hali sio chama kilicholengwa?

Hiyo kesi kwa jina la chama utaifunguaje?
 
Swali kuntu hilo!
 
Kama Viongozi wa juu ndani ya Chama waliweza Kuwa wanapanga hujuma dhidi ya wenzao Kwanini tusiamini Kuwa Hata ya Ben saanane Na ya Lissu Ni michezo hiyo hiyo?
Ishu si kuamini ishu ni vyombo vya ulinzi na usalama kushughulikia uhalifu bila kujali vyama. Kwani ni nani aliyekataza upelelezi wa matukio ya Lissu na Saanane usiendelee.
 
Kazi ya jeshi la Polisi ni nini? Ni kwa nini Assasination attempt ya Tundu Lisu haijafunguliwa hata jalada Polisi?

Nape Nnauye katolewa bastola mchana kweupeeee pe.
Kwa hili mlilotaka kumteka mstahiki Meya Jacob wa ubungo hata kuteswa na kuumizwa kwa mpendwa mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni itakuwa ni michezo ya hapo hapo Ufipa. Mungu ana njia nyingi za kuliweka jambo ovu hadharani na kuelekea miaka 150 ya Kanisa Katoliki nchini Mungu amemtumia Jacob kuwaumbua watekaji!
 
Binafsi sijasikiliza hiyo clip bali nimesoma maelezo ya kilichomo katika hiyo clip ambayo inaonekane kuwalenga watu binafsi ndani ya chama na si chama chenyewe.

Swali:
Kama waliotaka kufanyiwa uhalifu/hujuma ni watu binafsi ndani ya chama, chama kinawezaje kumpeleka mtuhumiwa mahakamani ili hali sio chama kilicholengwa?

Hiyo kesi kwa jina la chama utaifunguaje
------------------------------------------------------------------------
Chama chochote hakiwezi kuexist bila wanachana. Sifa ya chama ni wanachama. Kama wamefanya jinai dhidi ya wanachama kwa vyovyote wamekigusa chama. Sasa ikiwa viongozi ndiyo target yao hapa ndo chama kinahusika kabisa kutokana na mjadala kuwalenga viongozi chamani.
 
Kama Viongozi wa juu ndani ya Chama waliweza Kuwa wanapanga hujuma dhidi ya wenzao Kwanini tusiamini Kuwa Hata ya Ben saanane Na ya Lissu Ni michezo hiyo hiyo?
Kwa akili yako iliyodumaa na kulemaaa jawabu ni ndio
 
Hiyo kesi kwa jina la chama utaifunguaje?
Kazi iliobaki sasa hivi ni kumtetea Mbowe kwa kila aina ya silaha
Mashitaka ya kubenea na komu ni mazito kuliko hata ya zitto nz wenzake,lakin kwa kua komu anatoka kaskazini ikaonekana kumfukuza itasababisha uchaguzi ambao tulishatangaza kususa.
Nafurahi kuona chadema inavyoporomoka
 
Mnalinda watekaji mnaona sawa tu!

Waliotuhumiwa kuhujumu mali za chama chenu mpaka sasa mnawalinda!!

Hao kina Kubenea na Komu hawana kinga na wala CHADEMA haina uwezo wa kuzuia wasishitakiwe.
 
K
Kama Viongozi wa juu ndani ya Chama waliweza Kuwa wanapanga hujuma dhidi ya wenzao Kwanini tusiamini Kuwa Hata ya Ben saanane Na ya Lissu Ni michezo hiyo hiyo?
Kwhiyo unataka kusema kuwa jeshi la polisi halijuwi wajibu wake kwakutowakamata viongozi wa chadema?Tumia ubongo kufikiri,achan na tumbo.
 
Akili za kitoto,k
Kazi iliobaki sasa hivi ni kumtetea Mbowe kwa kila aina ya silaha
Mashitaka ya kubenea na komu ni mazito kuliko hata ya zitto nz wenzake,lakin kwa kua komu anatoka kaskazini ikaonekana kumfukuza itasababisha uchaguzi ambao tulishatangaza kususa.
Nafurahi kuona chadema inavyoporomoka
Akili za kitoto,kwahiyo chadema ikiporomoka ndiyo viwanda vitajengeka?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom