Cha msingi wapo pamoja. Ndo najisifia kama ukoo walishondwa mimi nimeweza kwann msinipe maua yanguUsijifie ujinga ila umerahisisha mawasiliano na mambo yao yakaenda sawa. Tatizo kubwa katika ndoa za leo ni mawasiliano dhaifu.
Kama hawana skills nzuri za mawasiliano hawatoboi.
Kwa hiyo saivi wanakulana?Cha msingi wapo pamoja. Ndo najisifia kama ukoo walishondwa mimi nimeweza kwann msinipe maua yangu