Unaweza kwenda chuo cha Polisi bila cheti cha JKT au JKU?

Naomba kuuuliza mtu anaweza kupata mafunzo ya polisi kama Hana cheti Cha JKT


Msaaada
Wakitoa Tangazo la Ajira huwa wanatoaga na descriptions Mwanzo ulikuwa unaenda easily now days since Magufuli na mama wanazingatia urefu na cheti Cha jkt but all in all connections matter most in fucking country
 
Back
Top Bottom