unaweza Kuufaham Wimbo Huu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

unaweza Kuufaham Wimbo Huu?

Discussion in 'Entertainment' started by mfupa2, Aug 10, 2012.

 1. m

  mfupa2 Member

  #1
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndugu wana JF naomba Msaada Wa Kupat Jina La Wimbo Huu! Wimbo Unasikika Kipande Kidogo tu Kwenye Tangazo La Eid Katika Radio Clouds ni Wimbo wenye mahadhi Ya South Africa kuna Sauti ya Mdada inasikika Akiimba Kwa Hisia Fulni alafu kuna Mapigo ya Kiafrica Kama vile Ngoma na Vionjo Vingine. Please kwa anayejua naomba anitajie jina la Msanii na Wimbo.

  Thanks
   
Loading...