unaweza kusema nini hapa

hakuna kingine HIZO NI BANGE TUU!
 
Kama niko addict na jf Bora nioe kuliko kuwa Bachara
 
Bangi mbaya, vijana mnaambiwa hamsikii, haya ndiyo matokeo yake:tape2:
 
huyu kalikoka lile lenyewe la kigali msokotoka kama kidole gumba
 
labda kuna inshu ya muhimu alikuwa anasikiliza live,mf. ufunguzi wa kampeni za CDM, halafu anahitajika kupika, so what can he do?!....
 
Hataki kupitwa na k2 kwani kazi zote zinaenda ila nahc kuna msukumo wa noxious plant!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…